New Music | Utamu wa Life by The Kansoul [LYRICS]


{Chorus}
Utamu wa lorry ni ku rushwarushwa
Utamu wa riot ni ku zushazusha
Utamu wa mlango ni ku bishabisha
Utamu wa life ni zile shida umpepitia x2


{Verse One}- Madtraxx
I said they try to bring me chini
Sijacrack humpty dumpty’s on the fence
I hear some people diss me
Pole boss that only boost my confidence
Na sina snida mingi
I like to call that shit experience
And when i see myself on TV
I just smile and then i tell my haters thanks
Because I’m boss like that
I take the bullet then i throw a bomb right back
DJ’s always pull it when they hear a song by Mad
My life is trial and error since i lost my Dad
So i been there
and i dun that
I dun made some good decisions and I’ve blundered
I dun met some good people and some mendes
They say its not how you fall but how you come back
Maddy
{Chorus}
Utamu wa lorry ni ku rushwarushwa
Utamu wa riot ni ku zushazusha
Utamu wa mlango ni ku bishabisha
Utamu wa life ni zile shida umpepitia x2

{Verse Two}- Mejja
Utamu wa ku sota ni kujipata Majengo
Utamu wa njaa nikufungua ubongo
Utamu wa dream ni ku kazaa moyo
Utamu wa ku anguka ni ku amkaa tena
Waliniambia Siwezi ungeona wakinicheka
Ati unafanya mziki? Mziki ata ni Kazi?
Unajiita msanii uoni unapoteza wakati
Sikuhizi tukipatana
Wananiita Okwonko
Niaje brathe si utuwachie za macho
Utamu wa kuchekwa ni kutoboa
Nikiwa Majengo nilikuwa na uza njugu
sikujikashif nilikuwa na omba Mungu
Nachukuwa kalamu naandika ngoma usiku
Utamu wa passion ni kupenda kazi yako
Utamu wa hustle nikufungua macho
Juu kama ningekaa singepatana na the Kansoul
Okwonko.


{Verse Three}- Kid Kora Blessings Blessings on Blessings Thank God for these Blessings And life is a lesson Thank God for the life that I’m living Thank you Like yoyoyoo (yoyo) Life is up and down baby like yoyo But never quit never stress jipe moyo Middle finger in the air screaming yolo And I’m highly underrated and I’m quick to be hated But i don’t give a sh*t guess I’m too constipated And I’m so motivated my moves are too calculated And life can be crazy but nigga let’s celebrate it I said it Kid Kora {Chorus} Utamu wa lorry ni ku rushwarushwa Utamu wa riot ni ku zushazusha Utamu wa mlango ni ku bishabisha Utamu wa life ni zile shida umpepitia x4

Amazing Kenya News
 Website | Facebook | Twitter | Google+ | YouTube | Instagram
'; (function() { var dsq = document.createElement('script'); dsq.type = 'text/javascript'; dsq.async = true; dsq.src = '//' + disqus_shortname + '.disqus.com/embed.js'; (document.getElementsByTagName('head')[0] || document.getElementsByTagName('body')[0]).appendChild(dsq); })();