Kenrazy Ft Sosuun & Visita - Amani { LYRICS}

AMANI – KENRAZY feat. SOSUUN , VISITA.
Song : AMANI
Artist : Kenrazy feat. Sosuun and Visita
Prod : Beat Ya Visita HELA
Dir : Islando Films/BigjeyCutz

-Intro- [Sosuun]

-its all about big music-
Aha!
Kenya yetu Kenya moja:/
Pamoja:/
#BeatYaVisitaHELA

Ndoto za kuiona Kenya iking’aa:/
Hospitali zenye matibabu bora:/
Shule zenye elimu na manufaa inavyofaa:/
Ili itimiye, sote tunafaa kujuaa:/

-Pre-Chorus- [Visita]

Jua inapowakaa:/ Mvua inaponyesha:/
Kwa shida na raha:/ Sisi ni ndugu na dada:/
-mmh naomba-

-Chorus- [Visita & Sosuun]

Amani, naomba iwe nasi:/ [ooh yeah]
Amani, [ooh oh yeah] naomba iwe nasi, naomba:/ 
Amani, [Peace be with us] naomba iwe nasi:/ [ooh oh yeah]
Amani, [ni kaa umesahau mse] naomba iwe nasi:/ 

-Verse 1- [KenRazy]

Umesahau 2007, post election violence:/
Vipi wee brethren:?
Vile raiya walikatana, 
mapanga silaha wenyewe kwa wenyewe:/
Umesahau the powerful handshake:/
Raila na Kibaki,
How it felt that day:? 
Amani ikapepea kwisha njeve:/
Kenya ika-feel all of a sudden kaa Heaven:/
We have the power kupiga kura:/
We have the right kuchoose who runs:/
We have the choice kukunja sura:/
Mse wako asiposhinda bora tu AMANI buda:/
Mbona basi umekuwa ukitia bidii,
hizo miaka zote,
ndio leo urushe kidi:?
Tiga wana, tumia akili, kuja tupige maji:/
Hufai kusahau that………….

-Pre-Chorus- [Visita]

Jua inapowakaa:/ Mvua inaponyesha:/
Kwa shida na raha:/ Sisi ni ndugu na dada:/
-mmh naomba-

-Chorus- [Visita & Sosuun]

Amani, [naomba mi] naomba iwe nasi:/
[naomba mi naomba mi]
Amani, [naomba mi] naomba iwe nasi,
[naomba mi naomba mi]
Amani, [Peace be with us] naomba iwe nasi:/
[naomba mi naomba mi]
Amani, [naomba mi] naomba iwe nasi:/ 

-Verse 2- [KenRazy]

Kuna country ina-miss hii peace:/
Kuna country ina-dream about peace:/
Saiyo wewe una-risk hii peace:/
Unavuruga Amani una-tease hii peace:/
Ukabila mi staki:/ a-a,
Ufitina mi sipangi:/
Hii vita , East Afrika tusikubali:/
Mkenya damu , lyricist washakubali:/
Wazazi walipitia shida wakitu-raise:/
Sai ukona energy na yee ni mzee:/
Its our time to make this world a better place for all of us:/
Mbona tujihatarishe kizee:/ [mbona]
Our beautiful land tuiharibu:/ AJE?
Na dada yangu nimuadhibu:/ AJE?
Ukona option ya ku-make Love ama War:/
EIIH!!!
Unachagua vita AJE? 

-Pre-Chorus- [Visita]

Jua inapowakaa:/ Mvua inaponyesha:/
Kwa shida na raha:/ Sisi ni ndugu na dada:/
-mmh naomba-

-Chorus- [Visita & Sosuun]

Amani, [AMANI] naomba iwe nasi:/
[naomba iwe nasi]
Amani, [AMANI] naomba iwe nasi,
[naomba iwe nasi]
Amani, [Peace be with us] naomba iwe nasi:/
[ooh oh yeah]
Amani, naomba iwe nasi:/ 

[wuuuuu]

[Amani, [naomba] naomba iwe nasi:/
[naomba mi naomba mi]
Amani, [naomba] naomba iwe nasi,
[naomba mi naomba mi]
Amani, [naomba] naomba iwe nasi:/
[naomba mi naomba mi]
Amani, naomba iwe nasi:/ ] x2Amazing Kenya News 
 Website | Facebook Twitter | Google+ | YouTube | Instagram
'; (function() { var dsq = document.createElement('script'); dsq.type = 'text/javascript'; dsq.async = true; dsq.src = '//' + disqus_shortname + '.disqus.com/embed.js'; (document.getElementsByTagName('head')[0] || document.getElementsByTagName('body')[0]).appendChild(dsq); })();