Senzenina by King Kaka x Redfourth Chorus [LYRICS]


Foot prints kando ya bahari nikiskia symphony ya maji
Vile samaki na boat zina dance, kweli Mungu ana kipaji
But all good things ziko na mwisho, I think the end ndio huitwangwa Kifo
Ulienda kama warrior, sababu we ndio ungetuwakilisha
Lini unamaliza quest, ni lini unaitamatisha?
Already kuna ngombe nono, ukirudi tunaichinja
Maisha sikuhizi inanisakata, wacha vile tulikua tunasakata dimba
Room yako tumeiwacha the same vile tu ilikua inakaa
Ile  poster zile  viatu, na tulifold nguo vile ulikua unazipanga
Ntaangalia na nani sunset? Vile inazama ndani?
kama hurudi itumbukie, na isitoke uko ndani
Ile pilau tulijaribu kuipika, … kumbe ni mchele tu!
Sijui nini ilifanyika, mi wakili wako niambie nikutetee tu
Walisahau jina yako, siku hizi wanakuita  marehemu na the late.
Najua it’s not too late kwangu its now kuja tushare na we meal kwa plate
Macho zangu ziko na layer ya sadness akitoka shule saa zingine husahau
ananiuliza uko wapi Moran, Agnet
Unakumbuka vile nilikua nasema nataka kuenda gym niloose weight
I think the future hufavor the bold
Mchana yangu ndio usiku, usiku yangu ndio mchana
Ambia Mungu ukam basi, tuone tu sunset pamoja, sunset tu moja
wacha niumie, niumize matumbo nikingoja
Unakam when niplan,sitaki mabeshte wako wamiss please
unakam when, when tucheze PES?
Tupe signs smoke signal tuma messenger basi
niandikie barua niende posta kesho Ama?
Andika kitu kwa sky najua handwriting yako Ama?
Niangalie juu lini, usiku au mchana Ama?
Usiandike saa zile jua inanidistract si unanijua ama?
Si unakumbuka macho zangu hazidu poa na taa Ama?
Hii ni ndoto ama, nikama nikiamka nitakupata njee ama?
Ama tu umehama na nalala Ama?
ama nasleep talk Nikiamka nitakupata, ama?
Wanasema kama sina mbona nachagua ama?
ama umeenda na umeniwachia tu memories… Ama?

Amazing Kenya News 
 Website | Facebook Twitter | Google+ | YouTube | Instagram
'; (function() { var dsq = document.createElement('script'); dsq.type = 'text/javascript'; dsq.async = true; dsq.src = '//' + disqus_shortname + '.disqus.com/embed.js'; (document.getElementsByTagName('head')[0] || document.getElementsByTagName('body')[0]).appendChild(dsq); })();