Listen to Nyashinski's 'Marathon Runner' [LYRICS]
Written and Performed by: Nyashinski (@RealShinski)
Music Co-Written By: Cedric "Cedo" KadenyiMusic Produced by: Cedric "Cedo" Kadenyi.Copyright: Geta International Ltd.
LYRICSYehHuh [Refrain]But the music we making it touch your soul Take you to a place you never been before Africa tunaikamia tu mos mos banaI’m Kenyan so you know I’m a Marathon Runner Huh Unaishi aje vibasic, ni kaa kesho iko promised Hakuna era sitesi, napenda album ya ChronixxNyuma yangu Nina jeshi, inaomba niende mbaliWanakungojea udedi, waende wagawe mali mmI’m currently Not in a position to kill povertySina kitu kwa mpesa usinihalle pleaseNatafuta kitu in many different currencies Blank check disease Wife akidai shopping twende overseasNimekam na gari kubwa lemme show my keysNazieka juu ya meza uone emblem daddyNyashinski ndiye stima Wacha Kengen nani [Chorus:]Kipchoge keep jogging x8It’s the way I live my lifeCan’t let nobody live my life for meCan’t let nobody run meCan’t let nobody run me ah Unaorder aje vibasic, na ata si we unalipaKuna era sitesi? Napenda album ya E Sir Come hapa tuongee kwanza Nani atatupee mkwanja tuleHakuna kitu ya free joIkatae kaa ni ya bureStyle imeenda shule‘Tuko High’ (kama shule)Najua hapa ulikuwa ushaapa tu ni fry kabla ukuleHuh Kila dogi iko na siku yakeHuh Na paka maisha tisa ni unfairKila siku ukiamka amka na asanteFurahia ile uko nayo wacha kujicompareUle ana mingi ndo anaongezewa ju yakeIko mtu alisemanga eti mi ni don’t care [Chorus x1] [Bridge]Game iliniita nika comeWhy you hatingIn real life I’m much more calculatingYou don't want another woman looking at meYou hate my addictions You love my dreads [Refrain]


'; (function() { var dsq = document.createElement('script'); dsq.type = 'text/javascript'; dsq.async = true; dsq.src = '//' + disqus_shortname + '.disqus.com/embed.js'; (document.getElementsByTagName('head')[0] || document.getElementsByTagName('body')[0]).appendChild(dsq); })();