Lyrics: Chances - Gabiro Mtu Necessary (Joyner Lucas - Devil's Work)


(Cough) 
Ha ha Kikohozi ya chance hiyo
Hatuna haja kufa vijana tunaitaji chances
Eh Baba rudisha Biggie na uchukue Drake
Rudisha Papa Wemba pia arudi apande stage
Let the legend resurrect let the hommies reign
Leta 2pac yoh naskia yupo still
Naskia ni propaganda tupu nigga wasn’t killed
FemiOne na hizo tembe take a pill and chill
Father take NotiFlow she’s nothing to gain
Chukua mpaka huyo Mustapha anajaza tu train
Usisahau DNA he’s becoming a pain
I bet you’ll leave Msupa S & am not afraid
Give a kick to huyu Kyki anakimbiza fame

Dick riding coz anajua mistari ni same
Naskia China tuna madeni si mchukue Timmy
Chukua Bahati na huyo Diana tupatie Msando
Baby Pendo alale salama na agotee Sagini
Send them suckers straight to hell they don’t need a vigil
Chukua Wema na Harmorapa tuletee Kanumba
Give us back our loved ones take the evil with you
Give us back Martin Luther take Omollo with you
Never take Octopizzo he’s the realest nigga
Tuletee Kaka Sungura take King Kaka

Alvindo, KRG wote takataka
Chukua mpaka huyo Nyashinski ana roho mbaya
Hajanifollow ata Insta ana roho mbaya
I left a bunch of names that I’ll never even mention
Ambia Visita na Kenrazy huku hakuna pension
Ile fimbo walituchapa haikuleta tension
They made us strong and now we here wiser than the grandpa
Chukua Avril ongeza Akothee tuko na Nadia bado
Ukichukua Willy Paul tuna Masika bado
Mercy Masika hasipokuwa tuna Kambua bado
Na huyo Havoc ukimuacha hatuna noma bado

Chukua Mwala na Shirandula weka Shiti kando
Chukua Sonko na Waititu beba mpaka Obado
Ethic wacha wana nafasi Sautisol wabebwe
Huyo Jalango na Mwakideu wakwende Milele (FM)
Kush Tracey unamsahau alipenda kelele
Beba Mdundo, beba SKIZA wasanii wanalia
MCSK na hao wengine wasimame kulia
Yule Wangeci na Shortbaba wasikose kuingia
Guardian Angel akienda nitalia sana
Alikiba ukimchukua tuna Simba bana
Chukua Butita na 2mbili, Smart Joker hapana
Chukua Frasha na Buganya tupatie E-Sir
Juacali ukimchukua itakuwa vita
Chukua Radull na Mutoko rudisha Saitoti
Natuma sala kwa utulivu napiga magoti


Song : Chances (Joyner Lucas - Devil's Work)
Artist : Gabiro Mtu Necessary
Executive Producer : Jodifa Enterprises
Producer: MGF Studio


'; (function() { var dsq = document.createElement('script'); dsq.type = 'text/javascript'; dsq.async = true; dsq.src = '//' + disqus_shortname + '.disqus.com/embed.js'; (document.getElementsByTagName('head')[0] || document.getElementsByTagName('body')[0]).appendChild(dsq); })();